Kauli ya Mhariri

Kauli ya Mhariri

Authors

  • Prof. Rocha Chimerah

Abstract

Journal of Kiswahili Studies (JSS) ni jarida la kwanza na la kipekee la Kiswahili kwani ni zao la Muungano wa Chuo Kikuu cha Pwani na TUSIMA, (RISSEA). Muungano huu unanuia kuendeleza utafiti wa masuala ya lugha ya Kiswahili, ikiwemo Asili, Historia na maendeleo ya Kiswahili, Utamaduni wa Waswahili, Fasihi na Isimu ya Kiswahili.

Downloads

Published

2022-09-12

Issue

Section

Articles
Loading...