Ufasiri wa Watoto Wasomaji wa Mhusika Aliye na Ulemavu katika Hadithi Teule za Watoto
DOI:
https://doi.org/10.2026/jss.v3i1.11Abstract
IKISIRI
Makala hii inaangazia namna watoto wasomaji wanavyofasiri mhusika mtoto aliye na ulemavu katika hadithi teule. Katika tasnia ya fasihi kwa jumla, tafiti zinazohusiana na masuala ya ulemavu zimefanywa na watu wengi. Hata hivyo, tafiti nyingi za awali zimeshughulikia mtindo, wahusika, msigano wa majina ya ulemavu na hata semi na lugha. Aidha, katika fasihi ya watoto, tafiti za awali zimelenga mitazamo ya watoto kwa wenzao walio na ulemavu wa kimwili pekee. Ni katika msingi huu ambapo makala hii imeshughulikia namna watoto wasomaji wanavyofasiri mhusika mtoto aliye na ulemavu katika hadithi teule. Ili kufikia azma hii, mtafiti aliwahoji wanafunzi wa gredi ya kwanza na ya pili kutoka shule za msingi Kaunti ya Kiambu. Makala hii imeongozwa na nadharia ya Udenguzi ya Derrida (1976). Kulingana na nadharia hii, matini ya kifasihi inaweza kufasiriwa kwa zaidi ya njia moja. Data iliyochanganuliwa ilikusanywa maktabani na nyanjani. Maktabani mtafiti alisoma machapisho mbalimbali kama vile makala, tasnifu na vitabu. Nyanjani mtafiti aliwasaili wanafunzi wa gredi ya kwanza na ya pili kutoka shule za msingi Kaunti ya Kiambu. Matokeo ya utafiti yalidhihirisha kuwa watoto watafitiwa walifasiri mhusika aliye na ulemavu kwa njia mbalimbali. Kwa mfano, walimfasiri mhusika aliye na ulemavu kama mhusika wa kuendeleza ushirikiano na mapenzi, mwenye uwezo, mwenye kuonewa huruma/ kudunishwa, anayebaguliwa, shujaa, wa kuigwa, anayenyanyapaliwa, wa kudharauliwa na hata mnyonge. mujibu wa kifungu cha sheria cha NCPWD (2003)
References
Ali, A. (2019). Kuchunguza Dhamira ya Mapenzi katika Riwaya ya Kamwe si Mbali Tena ya Said Mohamed. Tasnifu ya Uzamili. -Chuo Kikuu Huria Cha, Tanzania. (Haijachap ishwa).
Ayala, E. C. (1999). “Poor little things” and “Brave little souls”: The portrayal of individuals with disabilities in children's literature. In Literacy Research and Instruction, 39 (1). Kur. 103-117.
Aylestock, N. (2009). Supreme Heroes. S.I.: Iuniverse Inc.
Azano, A. P., Tackett, M., & Sigmon, M. (2017). Understanding the puzzle behind the pictures: A content analysis of children’s picture books about autism. AERA Open, 3(2). Kur. 1–12.
https://doi.org/10.1177/233285841770168 2 BAKIZA (2010). Kamusi la Kiswahili Fasaha.
Nairobi: Oxford University Press.
Bakize, L. H. (2014). Utangulizi wa Fasihi ya Watoto. Dar es Salaam: Moccony Printing Press.
Beckett, A., Ellison, N., Barrett, S., & Shah, S. (2010). ‘Away with the fairies?’ Disability within primary-age children's literature. In Disability‐
& Society, 25(3). Kur. 373-386. Cameron, C., & Moore, M. (2014). Disability studies. In Disability Studies: A Student's Guide.
Kur. 37-39.
C-row, L. (1990). Disability in children's literature. In, Transcript of a seminar given to the Arts Council Literature Department. Available online at: http://www. roaringgirl. com/work/ disability-in-childrens-literature (accessed 26 November, 2024).
Copenhaver, J. F. (1999) ‘The intersections of response and ethnicity: elementary school students respond to multicultural children’s text/ED436780.pdf.' Retrived on 02/01/2025. Derrida, J. (1976). Of
Grammatology. Balti more: Johns Hopkins University Press.
Dulin-Keita, A., Hannon III, L., Fernandez,
J. R., & Cockerham, W. C. (2011). The defining moment: Children's conceptualization of race and experiences with racial discrimination. In Ethnic and Racial Studies, 34(4). Kur. 662-682. - Dyches, T. T., & Prater, M. A. (2005).
Characterization of developmental disability in
children's fiction. In Education and Training in Developmental Disabilities. Kur. 202-216. Fountas, I. & Pinnell, G. S. (2006). Teaching for
Comprehending and Fluency: thinking, talking, and writing about reading, K-8. Ports mouth, NH: Heinemann.
Howard, M. (1999). "Social exclusion zone." Guardian Society [online] 10 September. [Accessed September 2022] Hussein, A. (2009). Kesho! Kesho! Nairobi: O.U.P. Jefwa, J. (2000). Daudi Mlemavu. Nairobi:
EAEP.
Kombo, D. K. and Tromp, L. A. (2006). -
Proposal and Thesis Writing: An Introduction. Nairobi: Paulines Publications.
Kriegel, L. (1987). The cripple in literature. Images of the disabled, disabling images. Kur. 31-46.
Kristanti, F. (2016). Dignifying children through inclusive children’s literature. Journal of Language and Literature, 16(01). Kur. 63-69.
Leininger, M., Dyches, T. T., Prater, M. A., & Heath, M. A. (2010). Newbery Award-winning books 1975-2009: How do they portray disabilities? Education and Training in Autism and Developmental Disabilities, 583-596.
Levinson, S., & Mailloux, S. (1988). -
Interpreting law and literature: A hermeneutic reader.
Northwestern University Press.
Lidubwi, J. N. (2017). Representation of disability in media: A study of the Abled Differently program. Tasnifu ya Uzamili. Chuo Kikuu cha Nairobi. (Haijachapishwa).
Macharia, F. N. (2021). Tathmini ya Hadithi - Fupi zilizowasilishwa katika British Broadcast ing Corporation: Mtazamo wa Edgar Allan Poe na Leech (1969). Tasnifu ya Uzamili. Chuo Kikuu cha Kenyatta. (Haijachapishwa).
Mahenge, E. G. (2017). Msigano wa Majina ya Walemavu katika Jamii ya Wazungumzaji Kiswahili: Mfano kutoka Tanzania. Kioo cha Lugha, 11(1). Kur. 78-87. UDSM.
Maina, D. (2022). Tupendane Sote. Nairobi: Spotlight Publishers.
McGrail, E., & Rieger, A. (2014). Humor in literature about children with disabilities: What are we seeing in literature? In The Educational Forum, 78(3). Kur. 291-304.
Downloads
Published
How to Cite
Issue
Section
License
Copyright (c) 2026 Journal of Swahili Studies

This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial 4.0 International License.